UJUMBE WA AT KWA KIBA HUU HAPA


Mfalme wa miondoko ya mduara nchini AT, ambaye amewahi kutamba na nyimbo yake ya Bao la Kete na nyingine nyingi zilizo wakuna wadau wa muziki na kuamua kuongeza ushabiki mkubwa kwenye aina ya mziki huo.

AT ameuamua kusema ukweli ambao alikuwa ameuhifadhi moyoni kwa muda mrefu juu ya mahusiano yake na msanii nyota kwa sasa nchini Tanzania, mwenye mashabiki wengi kutokana na tungo zake kuwagusa wengi ajulikanaye kama Alikiba hitmaker wa Nagharamia aliyofanya na Chrstian Bela.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram AT amemzungumzia Alikiba kama msanii mwenye kufanya jitihada katika kazi zake na mwenye kusaidia watu tofauti wa watu wanavyomdhania kuwa anaringa, jambo ambalo AT analipinga kwa asilimia mia moja kwa sababu kama angekuwa anaringa asingeweza kumsaidia yeye, kipindi hicho hana kitu.

 

MY DEAR BROTHER IMEKUA DESTURI YA WATU KUTOKUMBUKA FADHILA HII NI YANGU BINAFSI WALA HAHUSIANI NA USHABIKI USIOJENGA ACHA NIKUTUMIE BARUA YA WAZI KWAKO MWAKA 2006 MWISHONI NILIBAHATIKA ULIKUA SHABIKI MKUBWA WA WIMBO WANGU WA UTAONA NOMA ULINIAMBIA HAYO WAKATI TULIPOKUTANA KWA MARA YA KWANZA WAKATI NIKIWA BADO MGENI WA JIJI LA DAR MAENEO YA KARIAKOO MTAA WA PEMBA KWA DADA RAHMA MAMA SWALEKH NA TUKIISHI KM NDUGU HAPO WAKATI UKIHIT NA WIMBO WAKO WA SINDERELA MTU WA KWANZA KWANZA KUKUPANDISHA DALADALA NI MIMI #AHSANTE SANA KWA HESHMA ULIONIPA HATA PALE ILIPOFIKIA NILIKUAMBIA NAACHA MUZIKI ULIUMUA NA UKANIAMBIA UPO TAYARI KUTOA PESA MFUKONI UNISAIDIE NA UKANIFARIJI KUA NITAFANIKIWA TU #AHSANTE KWA MARA YA 2 TULIISHI NDUGU HADI KWA WAZEE WETU NILIFURAHI ZAIDI KUONA USHIRIKIANO WA FAMILIA YAKO KTK HARUSI YANGU MISIBA NA MATEMBEZI SIKUJUA HATA MM SIKU NITAKUA NKOMBOZI KWAKO BAADA YA PALE KITUO CHA TV FULANI KUGOMA KUPIGA VIDEO ZAKO ETI YA KWAMBA UNADHARAU NILIUMIA VILE HAUPO IVYO ILA SHOW YANGU YA ZANZIBAR UZINDUZI WANGU UKASABABISHA TOFAUTI HIYO IFUTIKE NA UKAWA HURU ZAIDI NA KUFANYA VIDEO NA MTU AMBAE ILIKUA AKIDHANI UNAMARINGO NA HATIMAYE ULIFANYA SHOW HIYO NA ULIKATAA NISIKULIPE #AHSANTE SANA ULIWEZA KUNILETEA MARLOW STUDIO WAKATI AKIWA ANAHIT MNO NAKUFANYA NAE COLABO HADI LEO UWOWIMBO HAUJACHUJA HADHI NILIJUA WW NI MTU WA IMANI BAADA YA MSANII FULANI WAKATI TUPO OMAN MWAKA 2010 ALIKUKERA SANA HADI ULITAKA KUMPIGA ILA NILIPOSIMAMA KATI HURUMA IKAKUJAA HALI YA KWAMBA ULIKOSEWA OMBI LANGU KWAKO INGAWA NI MIPANGO YA #MUNGU ILA UNAMCHANGO MKUBWA MPAKA MIMI KUA #AT NAOMBA KATI YA TUNZO MBILI NILIZOPATA TANZANIA MOJA NIKUTUNUKIE WW MOJA IYENDE KWA ADAM JUMA GOOD BLS YOU @OFFICIALALIKIBA @ADAMJUMA ( KUNA KITU KIBA ULIKUA UNAKITAFUA SANA HUJAFANIKIWA KUKIPATA ILA KUA KUTHAMINI MCHANGO WAKO NI KIDOGO ILA KITAKUFURAHISHA SANA NA HUENDA KIKAKUTOA MCHOZI NAKUTUMIA NOW KATIKA WHATSUP YAKO BE HAPPY MY BRO SALUTI )(#AT NA #ALIKIBA TUMEFANYA JUMLA YA COLABO 3 YA 1 #KWANINI FT #QEENDARLIN YA 2 #USIKOMAE#NAE NA YA3 NI #ACHA#LIWACHOME ILA 2 ZIMESIKIKA MOJA NI NYIMBO ANAYOIPENDA MAMA YANGU HAMTAISIKIA MNISAMEHE NI ZAWADI 4 MY #MUMY )by MTEMBEZIONLINE.COM



Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA