Posts

Showing posts from February, 2016

UTAJIRI MIKONONI MWAKO

RIFARO AFRICA ... .ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO. -kampuni ilipata wazo hili toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mwezi wa 12 baada ya taasisi zote muhimu kuipitia na kujiridhisha na utendaji utakaoenda kumsaidia mtumiaji wa simu kwamba upo sahihi! BIDHAA -kampuni imetuletea bidhaa makini sana, muda wa hewani "AIRTIME ", bidhaa ambayo katika maisha ya sasa hivi ina umuhimu mkubwa sana, iwe ni mchana au usiku, wakati wa shida ama wakati wa raha bado tunaitumia sana!KUMBUKA  SI MAANISHI KUA UNAKUA MUIZA VOCH BALI KWA MATUMIZI YAKO BINAFSI UNALIPWA. MFUMO - Rifaro Africa inaendesha biashara katika mfumo wa mtandao "Network marketing " Biashara ya karne ya 21, biashara ambayo inakufanya uachane na kutumia nguvu nyingi, biashara ambayo itakupatia kipato ambacho hakina kikomo, uwepo usiwepo biashara yako huendelea k...

NISHA AMVAA ERIC OMONDI

Image
Mkali wa filum za kuchekesha na mmiliki wa kampuni ya NISHA FILM PRODUCTION  dada SALMA JABU NISHA... anaewika na Filum mpya ya KIBOKO KABISA inayofanya vizuri sokoni toka tarehe 29 mwezi wa kwanza 2016 Akizungumzia Filum hiyo inayofanya vizur sokoni NISHA alisema Filum hiyo imemfanyia maajabu kwa kufanya vizuri sokoni kuliko alivyo tarajia. Filum ya KIBOKO kabisa ni filum iliyotazamia mambo yanayotokea katika shule za mabweni ikiwa ni wazazi kusahau kufuatilia watoto wao wakidhani mabwenini ni mahala salama.. kumbe ni fikra potofu... FILUM ya KIBOKO KABISA imeweka bayana yale yote mabaya yanayotokea katika shule hizo huku ujumbe ukifika kama ulivyopangwa na kwa aina yake.. FILUM hiyo amewashirikisha wasanii kadhaa kama KING MAJUTO,BEN BRANKO,JENGUA,JADA,NEEMA WA 20 PERCENT.na CHIPUKIZI wengi waliofanya vizuri KUNANI NA ERICOMONDI? ERICOMONDI msanii wa vichekesho nchini Kenya anayefikisha sanaa yake kwa hadhira kwa njia za majukwaani PIa ni maarufu katika kipindi cha kuchekesha cha...

LEO TAREHE 6 FEBRUARY KILICHO ANDIKWA KUHUSU SHILOLE NA NUHU KUHUSU MIMBA YA KAJALA NA UDAKU MWINGI KUHUSU DIAMOND ZARI NA YA MUME WA ZARI HARD NEWS KUHUSU MAGUFULI NA MAWAZIRI WAPYA WA UKAWA

Image
KILICHO ANDIKWA NA MAGAZETI YA LEO TAREHE 6 FEBRUARY February 6 2016  naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews

MAGAZETI 5 FEBRUARY 2016 Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 5 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo

Image
February 5 2006 hivi ni vichwa  vya habari vilivyogonga Magazeti leo....