UTAJIRI MIKONONI MWAKO

RIFARO AFRICA
...

.ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO.

-kampuni ilipata wazo hili toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mwezi wa 12 baada ya taasisi zote muhimu kuipitia na kujiridhisha na utendaji utakaoenda kumsaidia mtumiaji wa simu kwamba upo sahihi!

BIDHAA
-kampuni imetuletea bidhaa makini sana, muda wa hewani "AIRTIME ", bidhaa ambayo katika maisha ya sasa hivi ina umuhimu mkubwa sana, iwe ni mchana au usiku, wakati wa shida ama wakati wa raha bado tunaitumia sana!KUMBUKA  SI MAANISHI KUA UNAKUA MUIZA VOCH BALI KWA MATUMIZI YAKO BINAFSI UNALIPWA.

MFUMO
- Rifaro Africa inaendesha biashara katika mfumo wa mtandao "Network marketing "
Biashara ya karne ya 21, biashara ambayo inakufanya uachane na kutumia nguvu nyingi, biashara ambayo itakupatia kipato ambacho hakina kikomo, uwepo usiwepo biashara yako huendelea kuwepo.

- Rifaro wameuweka mfumo huu katika vizazi 15. Utalipwa kuanzia kizazi cha 1-15 kwa uwiano tofauti kulingana na kizazi kwa kizazi!

AINA ZA MALIPO 👇

MALIPO

I.Malipo ya wiki
-haya ni malipo yanayotokana na kazi uliyoifanya wewe kwa kushirikiana na washirika wako katika biashara kuanzia kizazi cha kwanza hadi 15.
Utalipwa kulingana na idadi ya washiriki wapya walioingia katika hiyo week husika.
Week ya Rifaro inaanza jumatatu saa 12:01 usiku na kufungwa jumapili 12:00 usiku.
- malipo haya hulipwa siku ya jumatano kwenye ATM Card yako (visa) .

MALIPO YAPO VIPI?

Kizazi 1: 20,000/= kwa kila atakayeingia kwako moja kwa moja.

Kizazi 2: 8000/=
Kizazi 3: 5000/=
Kizazi 4: 5000/=
Kizazi 5: 5000/=
Kizazi 6: 3000/=

Kizazi 7-kizazi 15: 2000/= kwa kila kizazi

Mfano kwa mezi ukaingiza watu kumi..na kila atakaiingia aingize wati 10.nimfano mnaweza ingiza wengi muwezavyo
1)20000×10=200,000
2)8000×100=800,000
3)5000×1000=5m
4)5000×10000=50m
5)5000×100000=500m
6)more than 500m
7-15)🙆


MALIPO YA MWEZI

- haya ni malipo yanayotokana na muda wa hewani "airtime " uliyotumia wewe binafsi na washirika wako katika biashara mpaka kizazi cha 15.

-kampuni inatulipa 6.5 ya muda wa hewani tuliotumia mwezi mzima.

Wewe : 1% ya matumizi yako.

Kizazi 1- kizazi 5 : 0.5% kwa kila kizazi, jumla 2.5% ya vizazi hivyo vitano.

Kizazi 6- kizazi 15: 0.25%, jumla ya 2.5% ya vizazi hivyo 10.

(1 + 2.5 + 2.5 = 6 )

Inatupa jumla ya 6% , asilimia 0.5% iliyobaki ni kwa ajili ya ZAWADI kampuni itakazokukabidhi kulingana na idadi ya washiriki kuanzia kizazi cha 1-15.

* labda team yako nzima una watu 100,000 na ukalipwa 0.5% ya sh 20000/= atakayoitumia kila mmoja katika huo mwezi. Utalipwa 10,000,000/=. (PIGA HESABU).

0.5% ya ZAWADI

-15,000 watu : Kiwanja

-25,000 watu: safari ya macca /Israel kujitakasa.

-40,000 : gari 1(15mln kwa thamani ya sasa hivi)

-70,000 : gari 2 (150 mln kwa thamani iliyowekwa sasa hivi na kampuni)

- 120,000 : POSH VILLA (nyumba ya kifahari), 400-500 milion kwa thamani iliyowekwa sasa hivi.
na unaweza chagua aidha apartments,hotel, au nyumba ya kuishi!

MTAJI WA BIASHARA 👇

MTAJI

Kama zilivyo biashara nyingine, hii pia itakuhitaji uwekeze mtaji wa 128,500/=

- utapatiwa kifurushi chenye
1. DVD
2. ATM card(2000/= salio ndani yake)
3.kitabu cha biashara
4. Website (kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako, kuona biashara yako yote)
-5000/= salio
KWA KUJIUNGA WASILIANA
WASSAP AU PIGA
0656278685....

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA