SHILOLE NA NEDYMUSIC MAPENZI KUSHNEY

 Yale mapenzi Feki ya Nedy na Shilole yaliozuka baada tu ya  mwanadada wa IGUNGA Shilole mwanamuziki na muigizaji wa bongo muvie  aka (shishi) kuachana kwa kupigana kibuti na Nuhu mziwanda..
Dogo Nedy alipata kik ya msimu kidogo baada ya kuonekana amezama ki mahaba na mwanadada huyo.. ila karibuni SHILOLE akionekana kufuta picha zote alizowahi kupiga na Nedy huko mtandaoni huku nae mwanakaka huyo Nedy kufanya hivyo hivyo... tafsiri yake ni kua hakuna kinachoendelea .



SHISHI (SHILOLE) katika pozi lake


NUHU APOTEZEA
katika tafrani hizo ambazo pengine Shilole aliziita Project Nuhu alizidi kuonyesha msimamo wake hasa baada ya kuendelea kua na mapenzi yake mapya na mwanadada Muarabu kutoka Oman...
watafiti wanaelezea na kusema kua Shilole na Nuhu wanauwezekano mkubwa wa kurudiana kutokana nyota zao zinaendana sana..
                               NEDY katika pozi




Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA