ZAWADI YA NISHA

ZAWADI YA NISHA📦 Part 1
Ilisikika sauti ya NISHA... ....: BABA yangu mzee GOBA alisifika sana katika uchoraji .na hii ndio iliopelekea walimu kiniambia nimemrithi tabia za baba yangu katika uchoraji... mimi niliona ni maisha ya kawaida ktk kazi hiyo mara nyingi alimchukua mama katika matamasha mbalimbali ya uchoraji...
Baba yangu Alitumika serikalini katika ofisi za makumbusho alichora picha mbali mbali zilizoonyesha ukombozi wa uhuru wetu... sina uhakika na ujira wake kama ulimpa faida  ila hii ndio ilikua kazi yake... ilioweza kumtunza mama kipindi ana ujauzito wa mimi tumboni.....
....maongezi haya nashindwa kuyatafsiri ikiwa mama ananisimulia ilihali akiwa na maisha yasio ridhisha nilisumbuliwa shule nisipate hata pesa ya kukithi michango... sasa je umuhimu wa baba uangu serikalini ulikua ni upi...
..hilo ni swali nililokua namuuliza mama kila siku..iweje tulikua na maisha mabovu katika muda ule tuliishi kijijini ilihali historia ya baba ilikua ni mjini..?....je mwisho wa baba yangu ulikua ni upi...?
...NISHA alivuta pumzi wakati anamsimulia RIYAMA gerezani... RIYAMA..akimsikiliza NISHA kwa ufasaha huku akijifuta chemchem za machozi zilizo paraza mashavu yake....
...aliendelea NISHA..
Roho ilizidi kuniuma hasa storia ile ya baba ...
Mama alinielezea akiwa kitandani hajiwezi...alisumbuliwa na ugonjwa wa presha uliomtokea miaka miwili nyuma baada ya kunyang'anywa nyumba ya serikali tuliokua tukiishi..mjini.. sababu za kupokonywa nyumba ile sikuzitia maanani kwakua mama alikua anajua ukweli wote...
Mama alizidi kunikanya kua kalamu yangu itakuja kua ufunguo wa kufunga pingu ktk mikono  yangu u kufungua..
Pia ..
Alilisisitiza huenda ikawa kalamu ni mshaLe utakaotoboa moyo wangu na kupoteza maisha na malengo yangu..alinikanya na habari za kupenda kuchora.. alinisihi bora nitafute kipaji kingine... Hakika mama alikua na siri kubwa sana ya maisha ya baba yangu... 🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬🎬ALIONEKANA NISHA AKIMPA SIMULIZI RIYAMA HUKU WAPO GEREZANI CHUMABA KIMOJA🎬🎬🎬🎬🎬🎬 Nini kitaendelea fuatilia ZAWADI YA NISHA👉👉

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA