KUTUMBULIWA KWA MKUU WA MKOA ANNE KILANGO MTOTO WAKE AFUNGUKA MAZITO

Baada ya kile kinachoonekana ni ukatwaji au lugha ya kisiasa kwa sasa tunaiiita kutumbuliwa jipu,
 Ndio hali iliomkuta aliekua mteuliwaji wa cheo cha uongozi wa mkoa (MKUU WA MKOA) MH ANNE KILANGO MALECELA... ambae hivi karibuni aliteuliwa na Mh Raisi JOOSEPH POMBE MAGUFULI.
LEMUTUZ akiwa na mana yake Mh Anne Kilango Malecela


Kufuatiwa Mh Anne Kilango kupewa maagizo ya kutumbua watumishi hewa wa serikali katika mkoa SHINYANGA ambao alikabithiwa na kutoa majibu kua hakukua na watumishi hewa.. 
swala ambalo Muheshimiwa Raisi alilitia mashaka na kulifuatia undani  Na kugundua kua wapo watumishi hewa zaidi ya 40
 Hivyo kuona Muheshimiwa Anne ametoa taarifa za udanganyifu.
Maamuzi ya kuahirisha uteuzi wa muheshimiwa Anne kuliambatana mkurugenzi wake ambae huenda akawa ni muhusika mkuu pia... 
Dr JPM raisi wa Jamhuri ya Muunggano wa Tanzania, Alionesha kusikitishwa kwake kwa Mh Anne kwa kutoa taarifa za uongo.
Mh Raisi alipomaliza kusema hayo ikulu alisema pia atampangia katika nafasi nyingine.

MTOTO AJA JUU
Mmiliki wa blog za mwananchi nchini maarufu kama Lemutuz ambae ni mtoto wa kufikia wa Muheshimiwa Anne Kilango  ,
watu wengi kupitia Mitandao walisema tofauti kufuatia mama yake huyo kukumbwa na kadhia hiyo , ila Lemutuz alionyesha msimamo wake wa kumpongeza Mh Raisi kwa maamuzi yake.
huku akimtuhumu Mama yake kua alikua na udhaifu wa Maamuzi.



akisema haya

LiVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys hakuna kama Mama ni Mama yangu mdogo au wa kufikia anaitwa Mama Anne Kilango Malecela ni mke wa Baba yangu so she is my Mama infact I call her my Super Mum wakati almost watu wengi Duniani wanagombana na Mama wa kufikia Mimi sijawahi wala hata kukwaruzana naye why? ni Mke wa Baba yangu na ni Mama yangu honestly she is my hero...I know kwamba she is one execptional and Courage's Woman angefukuzwa kazi kwa KUIBA ningejiondoa Social Media for the rest of my life lakini amefukuzwa kazi kwa a POOR JUDGEMENT this is as for what has been said so far ...a Poor Judgement haina anything to do na ELIMU au AKILI KUBWAZZZ na inapokutokea unakuwa under the messy of Muajiri wako ambaye ana Haki ya kuamua kwamba he or her can live with it au hapana Mimi kama muajiri pia I have gone through Mara nyingi na believe me Mara nyingi nimeishia the same conclusion to let those responsible go now ni Bahati mbaya kwamba kwenye National Politics inakuwa National News....in life tatizo sio kuanguka ila ni umeangukaje maana kuna kuanguka kwingine huwezi kuamka kwa mfano angefukuzwa kazi na kupelekwa Rumande kama wengine ndio maana Wazungu wana msema wa "Thank God it could have been worse".... so ukianguka unasimama na kujipanga upya kuacha nilipokuwa Majuu Maisha yangu yote nimekuwa nikijiajiri huwa ninatamani watu wote wajiajiri waachane na kazi za kuajiriwa lakini Maisha hayapo hivyo wengine ni lazima waajiriwe....now again ninasema kwamba kwenye Sheria za National Politics kosa la Mama yangu ni POOR JUDGEMENT ambayo muajiri wake Rais Magufuli ameona she is a risk kwa nafasi kubwa kama Rais wa Mkoa I have no problem with that na ninarudia kwamba it Could have been worse than what happened already ...at the end ni Mmoja wa wanawake wachache Tanzania waliojitofautisha na kusimama kuhesabiwa kwenye huu mfumo wetu dume Baba yangu alimuambia Mgogo mwenzake Mmoja aliyekuwa akimpiga Vita kwenye urais " Usishangae ikachukua Miaka 100 bila ya Mgogo mwingine kufikia level kugombea Urais" inaweza kuchukua muda mrefu sana kabla hatujawa na Mama mwenye msimamo Mzito kisiasa kama Mama Kilango...karibu tena Home you are my Mama and my hero! - le Mutuz


hayo ndio maneno alioandika katika moja ya kurasa zake.

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA