NISHA AWAPONDA MASUPER MARIO
Ni jina ambalo ni kama iCon ya Tanzania kwa akina dada ambao wanafanya vizuri katika kiwanda cha sanaa BONGO huachi kumtaja
NISHABEBE,KILEJA,KIBOKOKABISA,MATRONI yote ni majina yake unaweza ukamuita, yote ni kutokana na kazi zake zinavyofanya vizuri mitaani huku mashabiki wakimuita majina yanayoendana na moja ya kila kazi zake.
SALMA JABU NISHA (NISHABEBEE)katika ubora wake..
AWAPAKA MA MARIO
NISHA hivi karibuni ameonekana akiwachamba wanaume wanaomtegatega (kumtongoza) kuwa waache tabia hiyo kwani anahisi wanamuona ni mteremko ... na alishawahi kusema kua yeye akipenda hua anapenda kweli hivyo wanaume wengi wamekua wakichukulia udhaifu huo..
Nisha alizidi kufunguka na kuwaambia hayuko hivyo kwani Maisha yanabadilika huu ni muda wake wakutafuta pesa na sio mapenzi tena kwani ameshajitosha..
"sasa hii ni kwa wanaume wote wanapenda kunifatafata inbox na kunitongoza Jamani sitaki mbona mwanzo mlikua hamnifati kisa mnaniona sasa hivi mzuri sitaki mnachotaka ninakijua sitaki " Alisema Nisha katika moja ya post zake mitandaoni
"Au hawa watu wanatumwa na Baraka ..? alisikika akisema Mariamu katika moja ya Coment za post hiyo huku wengine wakijiuliza pengine ni njama ili wamzunguke Nisha ila Nisha anaonesha kuto kujali wala kutetereka.
SABABU ZA JULIKANA
Kitendo cha Nisha kukipaka kwa ma marioo wapenda utelezi wanaomsumbua wakitaka mahusiano nae Sababu zatambulika..
1.NISHA anavutia sasa hivi umbo mwaaa..Nisha anaonekana mtamu sasa huku mwanaume yeyote akimuona lazima amtamani hivyo wanashindwa kujizuia
2.NISHA hana mpenzi kwa sasa na hii ni kwaajili ya NISHA kumbwaga Mario mpenda utelezi BARAKA DA PRINCE ambae alikuaga mpenzi wake na vijana wengi wanatamani kua kama BARAKA...
3.NISHA Anajielewa ,Mchapakazi, siio tegemezi.
4.NISHA ni maarufu hivyo ukiwa nae mambo ysko na wewe yataenda kimaarufu na yatanyooka... (mteremko).
Comments
Post a Comment