JINAMIZI LA KINAIGERIA LINALOMTESA MOSSE IYOBO
Kuna msemo unasema
Duniani wawili wawili hali hii inamfanya
mkali wa Dansi wa WCB anaetambulika kwa
jina la Mosse Iyobo mzazi mwenza na Auntyezekiel.
Mose Iyobo ameingia katika Tafrani baada
ya kufananishwa na Mcheza michezo ya
uchafu (picha za ngono ) swala ambalo
limezua tafrani mara nyingi..
Mtu huyo anaejulikana kwa jina la KINGTBLAKHOK amekua akipiga picha tofauti akiwa na wanawake katika mazingira ya ngono wakiwa watupu na kuzirusha mitandaoni.
ASEMEKANA
taarifa kutoka Nigeria zinasema mtu huyu ni mfanyabiashara mkubwa na ni maarufu kwa picha za ngono. amekua ni muuzaji maarufu wa picha hizi nchi za nje.
pia inasemekana ni mchezaji wa picha za video ngono na Amejikusanyia pesa nyingi kwa biashara hiyo inayompa ujeuri.
WATANZANIA WANONG'ONA
Comments
Post a Comment