MTOTO WA ANNE KILANGO MALECELA ATOA DONGE NONO

HABARI ZA MOTO




Mfalme wa mitandao Tanzania maarufu kama LEMUTUZ NATION
mtoto wa Muheshimiwa ANNE MALECELA 
ameahidi kutoa zawadi ya Donge nono zaidi ya laki Tano (500000)
kwa atakae fanikiwa kuwapata  wahusika wa uhalifu
wa makosa ya mitandao.. ambao walihusika na kumtolea lugha ya matusi LEMUTUZ 
baada tu ya mama yake kupatwa na matatizo ya kuezuliwa ukuu wa mkoa.
LEMUTUZ amesema ameshawatambua hivyo wajisalimishe na si kukimbia.

LEMUTUZ NATION




NUKUU KUTOKA MITANDAONI
Guys the uptodates ni kwamba Mimi kwa kushirikiana na Polisi tunawatafuta WATU 2 kuhusiana na kesi ya..... "LUGHA ZA MATUSI KWA NJIA YA MITANDAO OB/RB/6806 OSTERBAY POLICE" .....now ninaomba kuwaambia hawa watu kwamba sina msamaha nao na this is a war tena walioitaka wenyewe .....najua kwamba wote wanajua kuwa wanatafutwa na wote wamekimbia majumbani mwao sasa wanajificha ficha huko Mbezi.....nawakumbusha tu jitoeni nendeni Police Osterbay mtoe maelezo Kamili tujue nani ANAHUSIKA na nani HAHUSIKI ....inasemekana kwamba mpo 3 Mmoja wenu yupo China na wafuasi wengine wengi mnaotumia HIYO account hapa bongo..Mimi nilidhani Leo mtajitokeza na wanasheria wenu lakini naona bado mnaamini mnaweza kukimbizana na Mkono wa Sheria na hata Polisi... ninachotaka ni Sheria na haki vichukue mkondo na Wananchi wajue kwamba hamna ujanja wala huo ubabe mnaojidai kuwa nao mngekuwa wababe kweli msingekimbia makazi yenu na kwenda kulala kwa kujificha ficha huko Mbezi....ninasema hivi ni Vita ambavyo nia na madhumuni ni kuwaelimisha Wananchi kulinda Haki zenu cause ninajua hivi Vita vimeisha 90% iliyobaki ni 10% now vitakapokwisha 100% tunataka kuwaelimisha Wananchi watumiaji wa mitandao ya kijamii namna ya kutowaogopa hawa hooligans...nitawapa Elimu yote ya toka nilipoanzia kuwafuatilia mpaka kufikia kuwakimbiza majumbani mwao na sasa wanajificha ficha. . nawakumbusha hawa watu 2 wanaotafutwa kwamba jitokezeni tu muende Polisi Osterbay mtoe MAELEZO mtakimbia kwa muda tu sio permanent ...KAMA KUNA MWANANCHI YOYOTE HAPA UNAWEZA KUNISAIDIA KUWAPATA HAWA WATU 2 KUNA ZAWADI NZITO SANA just call +255 717 618 997 .....my people heshima katika Maisha haipatikani Instagram inapatikana kwa tunayoyafanya in our real life.. Polisi na Serikali wanaweza kutusaidia kama na sisi Wananchi tutatoa ushirikiano ila ninakataa KATA KATA kushindwa na hawa hooligans ninasema over my dead body TUTAWAKAMATA NA WATAFIKISHWA MIKONONI MWA SHERIA I promise that so kujificha kwao hakuwasidii cause hizi kesi za Cyber Crime hazina Stature Limitation..I understand kwamba it is annoying ila wameshatukana matusi yote hawana mapya tena tuwavumilie kidogo lakini hawapo MBALI na mikono ya sheria

UNATAKA KUTANGAZA NASI.?
WEWE NI MSANII CHIPUKIZI..?
0656278685 WASSAP /  CALL



Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA