NAMNA YA KUMPIGIA KURA ALLY KIBA KATIKA TUZO MBALI MBALI


Hizi ndio tuzo ambazo ndiyo kipaumbele chetu kwa sasa, Na tunaomba Watanzania wote  tupige kura Kuleta Heshima Nyumbani.
Kwani Allikiba ndio msanii pekee aliotajwa mara nyingi katika Tuzo mbali mbali kuliko msanii yeyote Africa 2016



1.mtvema
bonyez link hii hapa chini.. kisha moja kwamoja
utakutana na picha ya KIBA
chini yake kuna neno
Best act
nenda kabonyeze neno
Vote...
Hakikisha unasubiri
kama sekunde 60
usi cancell hadi iji update
tena kukupeleka katika
category nyingine..
rudi nyuma kisha Bonyeza tena
link hii... kisha vote tena.. na tena kwa njia hiyo hiyo

bonya hapa
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
http://base.mtvema.com/_/alikiba



2.MTV MAMA
hii ni Tuzo ambayo Allikiba yupo
katika kipengele cha Tatu(3)"BEST COLABORATION"
ambayo imeingia nyimbo ya
Anconditionalybae SAUTI SOUL ft ALLI KIBA vote.. kisha
itakuandikia "thank you for voting.."
kisha subiri kama lisaa piga tena
bonyeza link hapa chini
itakupeleka moja kwa moja
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
http://mama.mtv.com/voting/


3.BEFFTA
vipengle viwili 
1.best intanational male
2.best music video
Tuzo hizi uwe makini katika kupiga kura
ukiingia katika link itakuambia
ujaze jina lako
jaza jina lako
kisha email yako
kisha category
No.1
bonyeza kisha
nenda namb 10
10.Best intanational male Africa
Jina lakwanza ni la ALLI KIBA
libonyeze kisha itaweka kidoti
shuka chini hadi katika neno
Submit..
itaandika
thank you for voting
rudi tena
2.Nenda katika kipengele cha
 20 Best Music video
nenda kisha click katika
neno
"mwana (Alikiba")
kisha click hapo
halafu
submit
itakuandikia
"thank you for voting"
halafu..
click back
unaweza ukarudia kwa kubadilisha meil na jina
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
http://www.beffta.com/voting/


4.afrimma
Tuzo hizi Alikiba ametokelea katika kipengele cha
Best Male East africa
Bonyea link
kisha shuka
hadi ktika kipengele
cha
Best Male East Africa
utakuta majina mengi
nenda katika jina la Allikiba
weka kidoti
click
kisha nenda chini kidogo katika
neno vote
bonya hapo..
rudia kwa kuanza upya tena
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
http://afrimma.com/nominees-2016/



5.Africa youth choice
Tuzo hizi zimemueka Alli kiba katika
kipengele cha Artist of the year
bonyeza link hapo kisha
bonyeza jina la Allikiba kisha shuka chini
bonyeza katika neno Vote
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
http://www.africayouthchoiceawards.org/vote/artist-of-the-year/


ASANTE KWA USHIRIKIANO WAKO
KWA MAELEZO ZAIDI.. WHATSPP 0656278685
INSTAGRAM  @sweetstoryz


Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA