Posts

Showing posts from March, 2017

MAGAZETI YA LEO TAREHE 28 MARCH 2017

Image
Sweetstoryz inakuletea kurasa za mbele NA nyuma ya magazeti pendwa ya Habari michezo..udaku.. Nimekusogezea hapa.. Fuatilia katika page ya Instagram kwa dondoo za udaku. Follow hapa chino .... https://instagram.com/_u/sweetstoryz?r=sun1

KWA MARA YA KWANZA TOKA PURUKUSHANI ZA VYETI ZIANZE PAUL MAKONDA ASEMA HAYA

Image
Kwa hali isio ya kawaida Muheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Daresalam Bw. Paul Makonda Afunguka nahau na maneno ya sintofahamu. Mkuu wa Mkoa Dare es salam Bw. Paul Makonda Maneno hayo alio yaandika muheshimiwa Paul Makonda yamekua ni ya sintofahamu Kutokana na kile kinachoendelea ikiwa ni Tuhuma za kufoji vyeti na kumiliki jina Ambalo sio la kwake, Maneno hayo ameyaandika kwa lugha ya kingereza katika moja ya kurasa zake za mitandao ya kijamii..maneno hayo yanatafsirika hivi..   Walikuja Wayahudi, sikuweza kusema kwa sababu sikuwa Myahudi. Wao alikuja kwa Socialists, sikuweza kusema kwa sababu sikuwa Socialist. Waliyoyakujia Wakatoliki, sikuweza kusema kwa sababu sikuwa Katoliki. Kisha mwisho walikuja kwangu, hakuna mtu aliachwa kusema kwa ajili yangu. Follow Instagram page kwa dondoo za udaku..habari Follow hapa https://instagram.com/_u/sweetstoryz?r=sun1

ALICHOKISEMA NAPE NAUYE BAADA YA NAY WA MITEGO KUACHIWA HURU

Image
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya maarufu Kama bongo fleva anaetambulika  Kwa jina la Nay wa mitego Atoka mahabusu alipokua akishikiliwa na jeshi la polisi huko Mvumero Mkoani Morogoro Alipokua akitoka katika shuhuli zake za kisanaa. Shuruti hilo la kukamatwa lilitokana na nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la "WAPO" ambapo ndani ya mashairi yake yalionekana kumlenga muheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli. Ney wa mitego Taarifa kutoka kwa raisi kupitia kwa Waziri wa Habari sanaa na michezo  Mwakyembe zilithibitisha kutoa taarifa kwa uachiliwaji wa mwanamuziki huyo ikiwa ni taarifa kutoka ikulu kwa Raising. Akiongea na Waandishi wa Habari , Waziri wa Habari Sanaa NA Michezo alitanabaisha taarifa hiyo kutoka kwa Raisi kua wimbo wa Nay uachiliwe NA yeye kuachwa huru huku Raisi akitoa ushauri kua nyimbo hiyo izidi kuongezewa vionjo na kuwataja wakwepa kodi nk. Baada ya taarifa hiyo ya kuachiwa kwa nay Alieku...