ALICHOKISEMA NAPE NAUYE BAADA YA NAY WA MITEGO KUACHIWA HURU
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya maarufu Kama bongo fleva anaetambulika
Kwa jina la Nay wa mitego
Atoka mahabusu alipokua akishikiliwa na jeshi la polisi huko Mvumero Mkoani Morogoro
Alipokua akitoka katika shuhuli zake za kisanaa.
Shuruti hilo la kukamatwa lilitokana na nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la
"WAPO" ambapo ndani ya mashairi yake yalionekana kumlenga muheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dr John Pombe Magufuli.
Ney wa mitego |
Taarifa kutoka kwa raisi kupitia kwa Waziri wa Habari sanaa na michezo
Mwakyembe zilithibitisha kutoa taarifa kwa uachiliwaji wa mwanamuziki huyo ikiwa ni taarifa kutoka ikulu kwa Raising.
Akiongea na Waandishi wa Habari , Waziri wa Habari Sanaa NA Michezo alitanabaisha taarifa hiyo kutoka kwa Raisi kua wimbo wa Nay uachiliwe NA yeye kuachwa huru huku Raisi akitoa ushauri kua nyimbo hiyo izidi kuongezewa vionjo na kuwataja wakwepa kodi nk.
Baada ya taarifa hiyo ya kuachiwa kwa nay
Aliekua waziri wa habari Sanaa na Michezo mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Nape Nauye nae anena yake huku akimsifia raisi na waziri wake kutambua hilo.-
Mbunge: Nape Nauye |
Matumizi ya nguvu sana hayalipi! Kurekebisha kwa upendo hulipa! Hongera Rais, Hongera Mwakyembe kwa uamuzi wa Busara juu ya Mziki wa Nay..!
Follow kurasa za Instagram ili kupata dondoo zitakazokuleta karibu NA Habari
Comments
Post a Comment