KWA MARA YA KWANZA TOKA PURUKUSHANI ZA VYETI ZIANZE PAUL MAKONDA ASEMA HAYA
Kwa hali isio ya kawaida Muheshimiwa
Mkuu wa Mkoa wa Daresalam Bw. Paul Makonda
Afunguka nahau na maneno ya sintofahamu.
Mkuu wa Mkoa Dare es salam Bw. Paul Makonda |
Maneno hayo alio yaandika muheshimiwa Paul Makonda yamekua ni ya sintofahamu
Kutokana na kile kinachoendelea ikiwa ni Tuhuma za kufoji vyeti na kumiliki jina
Ambalo sio la kwake,
Maneno hayo ameyaandika kwa lugha ya kingereza katika moja ya kurasa zake za mitandao ya kijamii..maneno hayo yanatafsirika hivi..
Walikuja Wayahudi, sikuweza kusema kwa sababu sikuwa Myahudi.
Wao alikuja kwa Socialists, sikuweza kusema kwa sababu sikuwa Socialist.
Waliyoyakujia Wakatoliki, sikuweza kusema kwa sababu sikuwa Katoliki.
Follow Instagram page kwa dondoo za udaku..habari
Follow hapa
Comments
Post a Comment