HARMORAPA APATA MUALIKO CANADA
Msanii Harmorapa anaetamba NA Kibao chake cha kiboko ya Mabishoo Hivi juzi alipata mualiko Nchini Canada. Harmorapa NA shabiki wake Harmorapa hivi majuzi alifanya Show ya kihistoria ilio kusanya nashabiki Lukuki na kumfanya aandike historia mpya Katika viwanja vya Dar Live Show hiyo aliofanya na Msanii nguli Juma nature ambae walishirikiana Pamoja katika nyimbo hiyo ambayo Imeshika nafasi za juu katika vituo Mbali mbali vya radio NA TV. Hivyo NA kumfanya Msanii Huyo kufahamika zaidi Duniani kote Harmorapa NA Amber lulu Msanii Harmorapa amekua gumzo Sana katika mitandao ya kijamii Baada pia kuhusishwa kimapenzi NA Msanii Wa mitindo katika video kwa jina la Amber lulu Vyanzo kadhaa vya habari vilimuhoji Msanii huyo wa kike Na kumuuliza kuhusu sakata hill la Kutoka kimahusiano na Kiboko ya Mabishoo. Amber Lulu alidhibitisha hili. Ila siku zilivyozidi kuyoyoma Msanii...