HARMORAPA APATA MUALIKO CANADA
Msanii Harmorapa anaetamba NA
Kibao chake cha kiboko ya Mabishoo
Hivi juzi alipata mualiko
Nchini Canada.
Harmorapa NA shabiki wake |
Harmorapa hivi majuzi alifanya
Show ya kihistoria ilio kusanya nashabiki
Lukuki na kumfanya aandike historia mpya
Katika viwanja vya Dar Live
Show hiyo aliofanya na Msanii nguli
Juma nature ambae walishirikiana
Pamoja katika nyimbo hiyo ambayo
Imeshika nafasi za juu katika vituo
Mbali mbali vya radio NA TV.
Hivyo NA kumfanya Msanii
Huyo kufahamika zaidi Duniani kote
Harmorapa NA Amber lulu |
Msanii Harmorapa amekua gumzo
Sana katika mitandao ya kijamii
Baada pia kuhusishwa kimapenzi NA Msanii
Wa mitindo katika video kwa jina la Amber lulu
Vyanzo kadhaa vya habari vilimuhoji Msanii huyo wa kike
Na kumuuliza kuhusu sakata hill la
Kutoka kimahusiano na Kiboko ya Mabishoo.
Amber Lulu alidhibitisha hili.
Ila siku zilivyozidi kuyoyoma Msanii
Harmorapa alionekana kujihusisha kimahusiano NA wasichana wengine.
Msanii Harmorapa na kritick
Msanii Harmorapa hivi juzi Kati
Ameingia katika vyombo vya habari
Vya kimataifa baada ya kutembelewa NA Msanii Kritick kutoka Norway ambae alikuja kwa kengo la ufanyaji kazi pamoja NA Harmorapa
APATA MUALIKO CANADA
Harmorapa apata shavu nono la kupata mualiko nchini Canada
Hi NI baada ya Mashabiki wa nchi hiyo kuonyesha
Kupendezewa NA kazi zake NA kuvunja ukimya NA kuonyesha hisia zao KatIKA ukurasa wa Facebook wa EATV
uliokua ukimfanyia Msanii Harmorapa mahojiano katika segment yao inayojulikana Kama KIKAANGO
alisikika shabiki kutoka Canada akitoa mualiko huo na kueleza hisia zake za ushabiki kwa Harmorapa huku akitoa mualiko huo.
Huku Harmorapa akimtoa hofu NA kuwaachia kazi viongozi wake .
Kwa matangazo
0656278685
Comments
Post a Comment