SHOW YA NEYO DAIMOND UTATANI KUSWEKWA RUMANDE
Msanii NASIBU ABDUL (Diamond)
Anakaribia kua katika wakati mgumu
Baada ya kupata misuko suko ya kuandaa
Show huko marekani bila mafanikio
Yaliotarajiwa.
Diamond plutnumz |
ya kufanya show na msanii
mkali wa RNB Marekai NEYO..
Show hizo ambazo zilikua chini ya kazi za Neyo ambapo alipanga kuzunguka mabara
mkali wa RNB Marekai NEYO..
Show hizo ambazo zilikua chini ya kazi za Neyo ambapo alipanga kuzunguka mabara
Diamond alipata fursa ya kualikwa na NEYO
Kupitia kazi moja ambayo walifanya
Kurekodi mziki wa (merry you)
..
Mashabiki wa Mziki ambao
Walitenga muda wao kuhudhuria
Show hizo iliokua imeahirishwa
Hadi tarehe 8 April 2017.
Ila sintofahamu zilizidi kutokea
Baada ya show hiyo kupelekwa mbele tena
Hadi Mwisho wa mwaka 2017.
..
..
Mashabiki wengi wamekua na Sintofahamu kwa
Kuvurigiwa ratiba zao ambazo walizipanga
Huku wengi wakiwa wameshanunua tiketi.
..
DAIMOND KIZIMBANI
Hivyo uongozi wa Neyo umepata wakati mgumu zaidi baada ya Mashabiki wengi kutaka warudishiwe pesa zao... NA wengine kutishia kutaka kushtaki wahusika kwa kuharibiwa Ratiba zao maana mashabiki wengi walisha book hotel usafiri kwaajili ya kuhudhuria Show hizo..
Huku Mashabiki wa Diamond wakiona Kama wameshafeli katika kumshabikia Msanii wao ambao walihisi ni hatua kubwa Sana Diamond aliipata...
Moja ya malalamiko mitandaoni |
Comments
Post a Comment