NANI KAMA KIBA

Msanii wa Bongo Muvie Anaejulikana kwajina la Wastara Juma
hivi karibuni amefunguka Mazito kuhusu Mazingira aliokutana nayo kipindi yupo katika Harakati za kutafuta msaada wa matibabu yake yaliomfanya akaenda Nchini India.
Wastara Juma Amefunguka mengi mazito ikiwa ni kutoa siri nzito ya Msaada mzito alioupata kwa Msanii Alikiba.
Vinywa vya wengi vilifunguka na kubaki waazi kwa mshangao baada ya Wastara kukiri kupata nsaada kwa Msanii Alikiba na kukosa Msaada kwa Msanii Daimond.
Kauli hiyo imefanya watu wengi Kumpongeza Alikiba kwa kitendo chake cha kutoa Msaada bila mtu yeyote kujua..
Huku wengine wakisema kua ingekua Daimond angetoa msaada akiwa na nyomi ya waandishi wa Habari.
Wastara alisema hayo katika kipindi cha Kikaangoni kinachofanywa na EAST AFRICA TV kupitia page yake ya Facebook.

BASATA.
Kupitia mdahalo wa waandishi wa habari wa Clouds kupitia kipindi cha XXL pamoja na wawakilishi wa BASATA na Naibu wa Habari na michezo..
katika mjadala walitaja jina La msanii Alikiba kama Msanii mwenye kufata Maadili na bado anapendwa

PAPO HAPO
Wakazi msanii wa BongoFlavoir alitoa mchango ulioelekeza kwa Basata kuhusu sababu zinazowafanya kufungia baadhi ya nyimbo kutokana na tafsiri za maana ya maneno ya ayopatikana katika nyimbo
alitolea mfano wa neno Banana na kuliyolea maana zaidi ya tatu.
hivyo aliongezea kua Basata hua na tafsiri zao vichwani.

DAIMOND
Msanii Daimond amejikuta katika wakati mgumu baada ya kujikuta baadhi ya nyimbo ambazo zipo katika Albamu yake alioizindua 14 March kufungiwa na BASATA.
hata hivyo hatujajua hitimisho na maamuzi ya BASATA kuendelea kumuachia Daimond auze Albamu yake yenye Nyimbo ambazo zimefungiwa.

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA