TANZA DIRA 12 APRIL



ALLIKIBA HATARI

Msanii wa Bongoflavor Tanzania
ALLY SALEHE KIBA anaetamba na
mziki wake unaokwenda kwa jina
la SEDUCE ME..ambae aliutoa Muda kidogo kama desturi yake ya kutoa mziki
kwa hali ya utaratibu sana ukilinganisha na wasanii wengine ambao wamekua wakitoa Nyimbo mara kwa mara bila kuchoka.
Msanii Alikiba ameingia katika misemezo ya watu baada ya kusemekana  kua Huenda siku za karibuni akafunga Ndoa na mlimbwende kutoa Kenya (JINAKAPUNI)
KWANINI KENYA
ALIKIBA ni msanii ambae amekua na mahusiano mazuri sana na baadhi ya viongozi nchini humo wa kisiasa
Ukaribu na Gavana huko Mombasa  JOHO kumepelekea shabiki wengi kumtabiria kumpata mke nchini humo maana amekua akikubalika sana nchini humo
NYIMBO MPYA
kumekua na Tetesi zenye ukweli asilimia nyingi baada ya mabadiliko ya jumbe anazotuma msanii huyo katika kurasa zake za Twetter na INSTAGRAM..
jumbe hizo zimekua zikihusishwa na maandalizi ya kutoa mziki mpya ambao ashaufanyia na Video kabisa.
kwakua imezoeleka msanii huyo huanza kwa kuwashtua shabiki zake kabla ya kuachia mziki wake.
DAIMOND ADANGANYA
kumekua na sitoeleweka ya tetesi zinazodai kua Msanii Daimond atakuepo katika nyimbo ya Nashindano ya Kombe la Dunia yatayofanywa huko Urusi.
Nyimbo hiyo ikimuhusisha Jason Derulo
inayokwenda kwa jina la Colours..
UKWELI HUU HAPA.
nyimbo hiyo imeshaimbwa na msanii huyo na kikichofanyika ni kwamba wasanii wengi barani Africa wameomba kuifanyia mix remix nyimbo hyo katika lugha za mataifa yao na Daimond ni mmoja wao.. ila sio kufanya Colabo na msanii huyo na nyimbo kua Official kwa Kombe ladunia..
BUSHOKE AWAKA USIKU WA VIKING
msanii Bushoke ameonekana akikonga nyoyo za mashabiki wa mziki pamoja na familia iliotoka jela hivi karibuni kwa msamaha wa raisi Familia ya Seya akiwa na mwanae  PAPII KOCHA ambaho hivi karibuni iliandaliwa Hafla na show kabambe ya wasanii hao ..
msanii Bushoke ni moja kati ya wasanii waliopata fursa ya kualikwa na kutumbuiza katika tukio hilo..
Huku papii Kocha na baba yake Nguza walionekana wakifurahi sana huku Mashabiki wakifatilia furaha hizo


kwa matangazo nitafute wassap  0656278685

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA