TANZADIRA 14 MARCH 2018



VIPEPERUSHI MILLIONI
Baada ya sekeseke la maandamano lilopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi April..
japo
maanadamano yamepingwa vikali na Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania..
Mitandaoni imeendelea kushamiri na kua na ushawishi mkubwa sana kupitia kwa baadhi ya watanzania wakiendelea kuyaita maandamano hayo ni haki yao ya kikatiba kwa kile wanachokidai ni haki Yao.
zikionekana Mashine zikiendelea kichapisha vipeperushi vya ushawishi wa maandamano hayo..huku ushawishi mkubwa ukifanywa na mwanadada anaeishi Marekani MANGE KIMAMBI.

RIPOTI YA NONDO YAWAHISHWA
Taarifa ya utekwaji mwanafunzi wa chuo kikuu imetolewa na Jemedari wa polisi Lazaro Mambosasa
Huku ikikanushwa vikali kua Mwanafunzi Abdul Nondo hakutekwa bali alikwenda kwa mpenzi wake huko Iringa.

MWALIMU AFARIKI 

TAARIFA YA @jamiiforums.
・・・
TANDAHIMBA,  MTWARA: Mwalimu wa shule ya Sekondari Milongodi, anadaiwa kufariki dunia ghafla baada ya kupokea barua ya uhamisho wa kwenda kufundisha Shule ya Msingi
-
Inadaiwa alipata shinikizo la damu baada ya kupokea barua hiyo na kusababisha kupoteza maisha
-
Mnamo mwezi Mach 2017, Serikali ilisema itawahamisha walimu wa ziada katika masomo ya sanaa kwenye shule za sekondari wapatao 7,463 kwenda shule za msingi kupunguza upungufu na kuboresha elimu hiyo ya msingi
-
Aidha, Mwezi Januari 2018 Serikali kupitia kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Joseph Kakunda ilisema walimu wa sanaa watakaohamishwa kutoka shule za Sekondari kwenda kufundisha Shule za Msingi ni wale waliokuwa wanafundisha Shule za msingi awali kabla ya kujiendeleza

Kwa matangazo wassap 0656278685

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA