TANZADIRA 20 MARCH




DAIMOND AVIMBA
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya
Nasibu Abdul almaarufu Daimondplatnum
katika kipindi cha Playlist cha Times fm kikiongozwa na Mtangazaji Omari Tambwe aka Liliommy .
Amefunguka mazito kuhusiana na Habari za Basata kufungia Nyimbo zake
"waka waka" na Haleluya."
Msanii huyo ameonekana akiongea kwa jazba sana kuonyesha kua kitendo kilichofanywa na Naibu waziri Dayana Shonza kua sio cha kiungwana.
 "huwezi tu ukakuruouka kufungia mziki wakati hujui nimeteseke vipi"
hayo ni baadhi ya maneno ambayo Daimond alikua akiyatiririsha katika mahojiano yake hayo.
pia Daimond ameelezea Changamoto kadhaa anazozipata na mafanikio ya Albamu yake ya A BOY FROM TANDALE. ambayo Mwisho wa juma lillopita aliifanyia uzinduzi nchini Kenya.

SHISHI BOY NUSRA KUTEKWA
katika mtiririko wa Matukio ya utekwaji watu hapa nchini.. Limetokea Tukio ambalo limeogofya baadhi ya mashabiki na watumiaji mitandao wa Team Kiba.
Akiongea kwa Hofu Moja kati ya mashabiki anaejulikana Maarufu kwa jina la ShishiBoy.. kijana ambae alipatiwa jina hilo kwa kile kinachodaiwa kuhusishwa na page inayotukana mitandaoni inayojulikana kwa jina la SHILOLEKIUNO OFFICIAL.
swala ambalo Halikua na ukweli ndani yake baada ya kukanusha mahakamani kua hakua mmiliki wa Ukurasa huo kwani alipokua ndani baada ya kushikiliwa na Polisi Page hiyo iliendelea na matusi mitandaoni.
Hivyo ukweli wa umiliki wake haukuthibitika.
Mbali na hill Kijana huyu anaejulikana kwa jina la MaBula ameendelea kupata Mateso bila chuki baada ya watu wasiojulikana kumfuatilia nyuma nyuma bila kufahamika ni kwa kusudio gani.
purukushani iliomtoa vidonda na makovu baada ya kuruka juu ya Boda boda hadi chini kukwepa kipigo  na utekwaji..
hata hivyo haijafahamika mara moja kipi hasa kimemkuta baada ya kugoma kuelezea tukio hilo kwa urefu mbali na majeraha yalioonekana mwilini mwake.
.
WEMA NAE.
Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza
inaaminika kua Mlimbwende Wema Abrahamu Sepetu umaarufu unakwisha anahemea mpira. muda wowote hatosikika baada ya kuonesha udhaifu mitandaoni..
mbali na Wema kufilisika...kutoka katika kampuni zake.. EndlessFame na Kisslipstic..
baada ya kampuni hizo kuyoyoma.
wema anatarajia kua mfanyakazi wa Daimond katika Kipindi moja wapo cha  tv  WASAFI TV.
swala hilo.limemfanya kujifedhehesha na kuonekana kukosa namna baada ya wadau wengi kutafsiri tofauti.
Moto alijikolezea kabisa baada ya kuonekana karibu na familia ya Daimond na kugongelea msumari wa kijembe katika kurasa yake ya instagram ambapo alipost ua jekundu.. huku akionekana amemlenga mzazi mwenzake na Daimond Zarina hasan ZARI. Ambae katika siku ya wapendanao Zari alipost ua Jeusi.

            TANGAZA NASI HAPA WASSAP 0656278685

Comments

Popular posts from this blog

MAHABA ZONE

ORODHA YA WANAUME WA WEMA YAFUNIKA KIMATAIFA

JIKE DUME HILI HAPA