ZAWADI KWA NISHA
ZAWADI KWA NISHA. PART 2 maisha yalikua chungu hasa kwa hii historia ya mama.aliokua ananipa..kila tulivyokua pamoja nilijihisi nahitaji msaada wa mtu wa tatu ambae amebaki historia nae ndio baba yangu mpenzi..... .....hali ya mama ilizidi kubadilika ilifika kipindi ilinipasa niache shule..kulingana na tabu aliokua akiipata mama.... ..nilipata shauku sana yakutaka kujua storia ya baba..ila niliogopa kumueleza mama animalizie hadithi kutokana pindi alipomtaja baba presha ilimpanda...nilisema na moyo wangu...huku nikimtizama mama kwa roho ya huruma.. ... ... Siku moja NISHA yupo katika pirika za kutafuta kuni ili akapate kumpikia mama yake... Alimuona mtu mwenye mwili mkubwa mandevu yalimshamiri mithili ya @mwarabu_fighter alipanda hewani kisha alitisha...sura Alimuona akija katika njia ile ile aliyokua anarudia nyumbani NISHA alipunguza mwendo.na mwendo wa jitu yule ulimtisha NISHA.. alitoa macho kwa ishara ya kuogopa..... Akautupa mzigo wa kuni chini nakukatisha porini m...