Posts

TANZADIRA 20 MARCH

Image
DAIMOND AVIMBA Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul almaarufu Daimondplatnum katika kipindi cha Playlist cha Times fm kikiongozwa na Mtangazaji Omari Tambwe aka Liliommy . Amefunguka mazito kuhusiana na Habari za Basata kufungia Nyimbo zake "waka waka" na Haleluya." Msanii huyo ameonekana akiongea kwa jazba sana kuonyesha kua kitendo kilichofanywa na Naibu waziri Dayana Shonza kua sio cha kiungwana.  " huwezi tu ukakuruouka kufungia mziki wakati hujui nimeteseke vipi" hayo ni baadhi ya maneno ambayo Daimond alikua akiyatiririsha katika mahojiano yake hayo. pia Daimond ameelezea Changamoto kadhaa anazozipata na mafanikio ya Albamu yake ya A BOY FROM TANDALE. ambayo Mwisho wa juma lillopita aliifanyia uzinduzi nchini Kenya. SHISHI BOY NUSRA KUTEKWA katika mtiririko wa Matukio ya utekwaji watu hapa nchini.. Limetokea Tukio ambalo limeogofya baadhi ya mashabiki na watumiaji mitandao wa Team Kiba. Akiongea kwa Hofu Moja kati ya mashabiki ...
Image
NANI KAMA KIBA Msanii wa Bongo Muvie Anaejulikana kwajina la Wastara Juma hivi karibuni amefunguka Mazito kuhusu Mazingira aliokutana nayo kipindi yupo katika Harakati za kutafuta msaada wa matibabu yake yaliomfanya akaenda Nchini India. Wastara Juma Amefunguka mengi mazito ikiwa ni kutoa siri nzito ya Msaada mzito alioupata kwa Msanii Alikiba. Vinywa vya wengi vilifunguka na kubaki waazi kwa mshangao baada ya Wastara kukiri kupata nsaada kwa Msanii Alikiba na kukosa Msaada kwa Msanii Daimond. Kauli hiyo imefanya watu wengi Kumpongeza Alikiba kwa kitendo chake cha kutoa Msaada bila mtu yeyote kujua.. Huku wengine wakisema kua ingekua Daimond angetoa msaada akiwa na nyomi ya waandishi wa Habari. Wastara alisema hayo katika kipindi cha Kikaangoni kinachofanywa na EAST AFRICA TV kupitia page yake ya Facebook. BASATA . Kupitia mdahalo wa waandishi wa habari wa Clouds kupitia kipindi cha XXL pamoja na wawakilishi wa BASATA na Naibu wa Habari na michezo.. katika mjadala wali...

TANZADIRA 14 MARCH 2018

Image
VIPEPERUSHI MILLIONI Baada ya sekeseke la maandamano lilopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi April.. japo maanadamano yamepingwa vikali na Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.. Mitandaoni imeendelea kushamiri na kua na ushawishi mkubwa sana kupitia kwa baadhi ya watanzania wakiendelea kuyaita maandamano hayo ni haki yao ya kikatiba kwa kile wanachokidai ni haki Yao. zikionekana Mashine zikiendelea kichapisha vipeperushi vya ushawishi wa maandamano hayo..huku ushawishi mkubwa ukifanywa na mwanadada anaeishi Marekani MANGE KIMAMBI. RIPOTI YA NONDO YAWAHISHWA Taarifa ya utekwaji mwanafunzi wa chuo kikuu imetolewa na Jemedari wa polisi Lazaro Mambosasa Huku ikikanushwa vikali kua Mwanafunzi Abdul Nondo hakutekwa bali alikwenda kwa mpenzi wake huko Iringa. MWALIMU AFARIKI  TAARIFA YA @jamiiforums . ・・・ TANDAHIMBA,  MTWARA: Mwalimu wa shule ya Sekondari Milongodi, anadaiwa kufariki dunia ghafla baada ya kupokea barua ya uhamisho wa kwenda kufundisha Shule ya Ms...

TANZA DIRA 12 APRIL

Image
ALLIKIBA HATARI Msanii wa Bongoflavor Tanzania ALLY SALEHE KIBA anaetamba na mziki wake unaokwenda kwa jina la SEDUCE ME..ambae aliutoa Muda kidogo kama desturi yake ya kutoa mziki kwa hali ya utaratibu sana ukilinganisha na wasanii wengine ambao wamekua wakitoa Nyimbo mara kwa mara bila kuchoka. Msanii Alikiba ameingia katika misemezo ya watu baada ya kusemekana  kua Huenda siku za karibuni akafunga Ndoa na mlimbwende kutoa Kenya (JINAKAPUNI) KWANINI KENYA ALIKIBA ni msanii ambae amekua na mahusiano mazuri sana na baadhi ya viongozi nchini humo wa kisiasa Ukaribu na Gavana huko Mombasa  JOHO kumepelekea shabiki wengi kumtabiria kumpata mke nchini humo maana amekua akikubalika sana nchini humo NYIMBO MPYA kumekua na Tetesi zenye ukweli asilimia nyingi baada ya mabadiliko ya jumbe anazotuma msanii huyo katika kurasa zake za Twetter na INSTAGRAM.. jumbe hizo zimekua zikihusishwa na maandalizi ya kutoa mziki mpya ambao ashaufanyia na Video kabisa. kwakua...

HARMORAPA AICHANGIA ZANZIBAR

Image
Msanii wa Muziki wa Hip Hop Tanzania Anaejulikana kwa jina HARMORAPA Kwa hali  ya Matumaini Ameonekana katika kitabu cha Uchangiaji kwa watu wenye mahitaji maalumu Zanzibar... Harmorapa Akitoa Ahadi hiyo ya kuchangia kiasi cha pesa cha Dolla 100 Msanii Harmorapa aneonyesha mchango wake na kuguswa na Kampeni hiyo na kumfanya Asimamishe show na kuongea na wananchi waliohudhuria "Kutokana na matatizo yanayoikumba jamii yetu Mimi Harmorapa kupitia SGS Sabuka Music naahidi kuchangia kiasi cha Dollars 100 kiasi kidogo cha kuwachangia wenye mahitaji." Alisema HARMORAPA Harmorapa akiteta na mwandishi Kampeni hii imezinduliwa na Mheshimiwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania MH SAMIA SULUHU HASANI na kuhudhuriwa pia na viongozi wengi wa Zanzibar Harmorapa ambae alikua ni mmoja kati ya wasanii wachache waliolikwa kutumbuizwa katika Tamasha hilo  lililolenga Kuhamasisha uchangiaji wa  Mahitaji ya watu wenye uhitaji lililojulika...

HARMORAPA KAJA NA VIDEO YA NUNDU

Image
Msanii wako Harmorapa baada ya USIGAWE PASI  ,   KIBOKO YA MABISHOO  Leo ametujia na  # NUNDU Nyimbo amemshirikisha mkali CPWAA na Mkali Ronei Chini ya KING LUFA akishirikiana na BONGO RECORD MAJANI KUANGALIA NEW VIDEO NUNDU HARMORAPA FT CPWAA & RONEI BONYEZA HAPO CHINI https://youtu.be/7ZuLsAzVR9E

MRISHO MPOTO ALA KIPONDO CHA MATUSI BAADA YA KUMSIFIA RAISI

Image
Mrisho Mpoto kaongea baada ya kutukanwa kumuunga mkono Rais Magufuli Ni May 2, 2017 ambapo Mrisho Mpoto kupitia millardayo.com & Ayo TV alifunguka kuhusiana na wale wanaomtusi na kumponda kutokana kuonesha kuunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli. ‘Kiukweli nimepata masikitiko makubwa sana kwani nimejaribu kuwaambia watanzania Rais ni nani, unajua kuna wakati wa kampeni ambapo kila mtu anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake chochote anachokiamini pale tunaangalia masuala ya vyama lakini tunapomaliza masuala ya uchaguzi tunarudi tuwe katika masuala ya umoja tujenge nchi yetu’- Mrisho Mpoto