Posts

Showing posts from May, 2015

MTAA KWA MTAA YATINGA MTAANI 28 MAY 2015

Image
Yule msanii wa Kike mkali wao wa vichekesho nchini SALMA JABU NISHA (NISHABEBEE) Aliowahi kuwavunja watu mbavu na filum kadhaa za vichekesho kama ""pusi na paku.....zena na betina....gumzo.....hakuna matata... nk Siku ya Alhamisi ya Tarehe 28 may anataraji kuitoa ile Filum inayosubiriwa na wengi ambayo inatambulika kwa jina la hakuna matata.. ""Akiongea katika moja ya mahojiano yake katika vituo mbali mbali vya habari amesema kwamba filuma ya MTAA KWA MTAA ameonyesha ujuzi zaidi... kwani mara hii alivaa uhusika ambao utawavunja mbavu mashabiki wa vichekesho kwa namna alivyo cheza"" pia.. katika filum hiyo inayotoka karibuni amewashirikisha wasanii chipukizi na wale mastaa maarufu katika nyanja ya uchekeshaji... kama ..Asha Boko....Tausi....nk. pia ameendeleza kumchezesha  mkali wa muonekano katika filum za umakini na sie mwingine ni HEMEDI (PHD) ""USIACHE KUNUNUA NAKALA YAKO ORIGINAL KABISA  WAHI UJIONEE UTAMU WA VICHEKESHO""28/5 ...

SALMA JABU (NISHA) ANAKUJA TENA NA MTAA KWA MTAA

Image
Muigizaji machachari wa Tasnia ya Bongo muve anaekaza kila kona SALMA JABU NISHA... hivi karibuni anataraji kutoa  filum mpya ikiwa ni kuwapa kile cha moyoni mashabiki wake ... Baada ya kutesa na Filum za HAKUNA MATATA..TIKISA..GUMZO..PUSY na PAKU..ZENA na BETINA..SHIDA..   sasa NISHA anawajia na filum nyingine inayotambulika kama .. MTAA KWA MTAA.. filum hiyo...itaibua mashabiki wake wanaotamani.kumuona tena baada ya kuwashirikisha watu machachari kama mwanadada ASHA BOKO... TAUSI ..HEMEDI..PHD. DAYANA wa kigodoro... Na wengine wengi aliowaibua vipaji...akiwemo Mtoto wake mwenyewe NISHA.. . ... FILUM ya MTAA KWA MTAA inataraji kutoka mwisho wa  mwezi huu wa 5.. ..... Nisha ameomba mashabiki zake kuisubiri kwa hamu.. kutokana na ubora uliokuepo katika Filum hiyo kuna utofauti umeongezeka.... ....... ....... ........ Ewe mshabiki wa NISHA.. pia usichoke kuendelea kupiga kura katika TUZO za TAFA... TANZANIA FILM AWARDS  mchekeshaji bora...kwa kwenda sehe...

DIAMOND ASEMA NA TUZO ZA KILI MWAKA 2015

Image
Msanii mkali wao. Wa BONGO NASIB ABDUL (DIAMOND)  amegeukia Tuzo za kili Music Awards na kuzikosoa ... haya aliyaongea katika moja yakurasa zake za mitandao ya kijamii Alisema """""Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini: Ikiwa MOE MUSIC hakuonekana ni Mmoja ya Mwanamuziki bora Chipukizi.. NDAGUSHIMA ya Ommy Dimpoz haikuonekana inafaa kugombe kama Moja ya Video bora.. Video ya Rich Mavocal - PACHA WANGU haikuonekana inafaa kugombea kama moja ya video bora... YAMOTO BAND licha ya kuvuma na kujaza kila show ya kila pembe ya Tanzania ila Mwisho wa Siku wameambulia Category Mbili tu Unafkiri mimi nina haja gani ya Kuomba kura???? Hivi kuna Nyimbo zimependwa na kuvuma kama NITAJUTA ama NISEME ya YAMOTO BAND Tanzania?? Eti mwisho wa siku, watoto wa watu licha ya Juhudi zote eti hazikustahili wameambulia Category Mbili tu... Hivi kweli Tunakuza ...

B.O.B WAONYESHA MFANO WA KUIGWA

Image
Kundi la sanaa la Muziki wa BONGO FLAVER linalofahamika kwa jina la B.O.B the Dreamers.. maskani yao inayopatikana Mkoani KILIMANJARO katika kata ya KALOLENI.. KATA yenye utajiri kutokana na rasilimali zake.. kama chemi chemi na uoto hai wa asili kama misitu.... KATA ambayo iliaminika kua na eneo lenye viwanda vingi kuliko mkoa wowote Tanzania...ila sasa vimekufa kutokana na kile kinachoitwa uzeefu wa umakini katika vichwa vya viongozi wetu.. hali ambayo...imepelekea viwanda hivyo...kufungwa na kutofanya kazi tena.... ikiwa lipo jopo la wawekezaji...kedekede wakitafuta fursa za uwekezaji....ila viongozi wameshindwa hilo Kutokana na KATA ya KALOLENI kusadikiwa kulibeba jina la Mkoa wa Kilimanjaro hasa kwa muonekano wake kutokana na chem chem za njoro zinazoaminika zinatirirsha maji yake kwaajili ya chanzo cha miamba ya mitirirko ya chem chem za mlima Kilimanjaro.... Kata hiyo yenye vyanzo vya maji takribani  7 hadi 10 imetakiwa iwe katika hali ya usafi sana ki mazingira kwa ujum...

SALMA JABU (NISHA) YES or NOT

Image
Salma Jabu Maarufu NISHABEBEE. Muigizaji bora wakike wa filum wa kuchekesha....2013-2014..na anaewania kinyang'anyiro cha Tuzo za Tanzania Film Awards best comedian   2015.. ..hivi karibuni... .ametoa swali kwa mashabiki zake hii ni baada ya Filum ya SHIDA kushika kila pande nje na ndani ya Tanzania huku baadhi ya mashabiki wa FILUM ..... wakitaka kuona kitu kingine kipya kutoka kwa kipenzi chao huyo... .. Salma Jabu ambae anapenda kua karibu na mashabiki zake kuliko muigizaji yeyote yule wa Tanzania... amedhihirisha ilo baada ya kuwashirikisha mawazo shabiki zake baada ya kutoa swali lililowataka shabiki zake wamuambie kama atoe Filum mpya au laa... Hivyo kama wewe ni shabiki wa kazi za NISHA  jibu swali hili .. Atoe Muve mpya..???.. Jibu kwa yes au No...