TANZADIRA 20 MARCH
DAIMOND AVIMBA Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul almaarufu Daimondplatnum katika kipindi cha Playlist cha Times fm kikiongozwa na Mtangazaji Omari Tambwe aka Liliommy . Amefunguka mazito kuhusiana na Habari za Basata kufungia Nyimbo zake "waka waka" na Haleluya." Msanii huyo ameonekana akiongea kwa jazba sana kuonyesha kua kitendo kilichofanywa na Naibu waziri Dayana Shonza kua sio cha kiungwana. " huwezi tu ukakuruouka kufungia mziki wakati hujui nimeteseke vipi" hayo ni baadhi ya maneno ambayo Daimond alikua akiyatiririsha katika mahojiano yake hayo. pia Daimond ameelezea Changamoto kadhaa anazozipata na mafanikio ya Albamu yake ya A BOY FROM TANDALE. ambayo Mwisho wa juma lillopita aliifanyia uzinduzi nchini Kenya. SHISHI BOY NUSRA KUTEKWA katika mtiririko wa Matukio ya utekwaji watu hapa nchini.. Limetokea Tukio ambalo limeogofya baadhi ya mashabiki na watumiaji mitandao wa Team Kiba. Akiongea kwa Hofu Moja kati ya mashabiki ...