HAPPY : NIKIPATA MDHAMINI SIFANYI MAKOSA
Msanii Chipukizi wa Bongo flaver.. HAPPY SULEIMAN.. (HAPPY) anaefanya vizuri sana katika kuja juu katika kinara hichi cha wanawake wachache wanaokuja juu katika kiwanda cha kupeperusha bendera ya muziki wa kizazi kipya... Ambae aliwahi kutamba na kibao cha Nakupenda ...ambacho kilishika chati sana kibao hicho kilipikwa vizuri na kupendwa na watu kedekede... Katika kutafuta soko la kutangaza kipaji chake ..wimbo wa Nakupenda uliingia katika mtafaruku ambao (HAPPY) alisema asingependa kuelezea nini kilitokea..... Ila katika chunguza za blog hii iligundua kua nyimbo hiyo iligongana idea na msanii wa kike (jina kapuni) nae chipukizi na kufanya nyimbo hiyo kuonekana ni kama imerudiwa mara mbili.. Swala ambalo (HAPPY) alipiga moyo konde na kusamehe hata gharama ambazo zilimgharimu katika kuitayarisha ngoma hiyo ..kwakua ngoma hiyo ilishatambulika ilimpasa aisimamishe kutokupigwa katika media ili kutoa utata.... ...