GAMBA MTAMU ANAEKUJA KUIBADILISHA TASWIRA YA MUZIKI WA BONGOFLAVER
NA MUANDISHI mudi bellino ISSA SHABANI MAVURA ( GAMBA MTAMU) msanii wa muziki wa Tanzania maarufu kama Bongoflava, Ambae aliwika na kibao cha Maiyo alichokifanya kwa projuza Tris. Daresalam. Baada ya kibao hicho GAMBA hakulaza damu akachomoka na kibao chake kipya ambacho ndicho kilicho fanya Sweetstoryz blog kumtafuta.GAMBA knachotambulika kama YOBORA. YOBORA ni nyimbo ambayo imemfanyia mapinduzi sana GAMBA kibao kilichofyatuliwa katika studio mpya zinazomilikiwa na prodyuzer anaekuja kwa kasi anae julikana kwa jina la Cyrus. Studio hizo zipo katika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. GAMBA hakusimama peke yake katika YOBORA amemshirikisha Top B msanii pendwa mkoani KILIMANJARO. GAMBA MTAMU Blog ya sweetstoryz ilitaka kujua undani wa safari ya Gamba mpaka Moshi Mkoani KILIMANJARO kumtafuta SYRUS. " mimi Moshi ni nyumbani kabisa ila nimekua nikitoka katika mipaka ya mkoa huu katika...