Posts

Showing posts from April, 2015

LUXURIOUS BUNGALOW FOR SALE

Image
Luxurious Bungalow Resort in the Southeast of Zanzibar for sale   Luxurious Resort with great infrastructure The Resort of 12,000 square meters is situated in the Southeast coast of Zanzibar. Two kilometer from the village of Makunduchi, right on the beach of the beautiful Indian Ocean. The greatest sensitivity to environmental factors was realized during planning and building, which was finished in 2013.   Every effort was made to retain harmony with the environment and the local community –fishermen and workers of wheat seaweed-production- within our project.   The hotel complex stands almost alone and is designed to welcome guests – today a maximum of 15 people- who like, security, privacy, independence and quietness. The resort has three luxurious bungalows of 64m 2 each with gallery and sea-view, two standard double-story bungalows of 26m 2 , a kitchen, a restaurant, a stone-bake pizza oven, a bar, a library, a reception, thr...

PIGA KURA KWA NISHA

Image
Muigizaji wa kipekee mchekeshaji wa kike mahiri Tanzania.. SALMA JABU (NISHA)  ameingia.katika.tuzo za kipekee na za kuheshimika zinazohusisha Filum Bongo zinazotambulika kwa jina la TANZANIA FILM AWARDS Msanii huyo anakipaji cha pekee hasa katika uchezaji wake amekua akionyesha utofauti katika fani yake hiyo.. amewahi kutoa filum kadhaa Ikiwemo  #GUMZO...PUSI NA PAKU..HAKUNA MATATA...ZENA NA BETINA ...SHIDA NK... Filum hizo.zimemletea umaarufu.. nakutambulika nchi nzima...kwa ubora wake Kutokana na filum ya ZENA NA BETINA... NISHA anawania Tuzo.ya (best comedian) .. ... ... blog hii inakuomba umpigie kura kwa kwenda sehemu ya messeg katika simu yako.. .. Andika     TFA 150 Kwenda 15522 .. .. ..tuma  mara nyingi uwezavyo.... Asante

JINI TUNU PART 6

Image
Nilisikia mlango ukigongwa... Kwa sauti ya ukali..... ""naani..niliuliza... ""SAM umerudiii.... Alikua ni mama amepata kurudi ..kazini... nilifungua mlango na kutoka nje...''""hee mbona Jasho?? Aliniuliza mama... ""aa mama nimekuja na kuku kutoka kwa bibi sasa si akatuponyoka Mwanao IRENE kamshika kizembe... hapa sasa hichi ni kibarua nilikua namkimbiza hata sijui kaelekea wapi.. Kama ni kuku si nimemuona bandani..":tena nikawa na muuliza IRENE huyu kuku wa nani.. maana najua hapa ndani hatuna kuku... baada ya wale kuingiliwa na ugonjwa tukawachinja wote .. ndio IRENE ananiambia kua..ni. kuku wa kaka SAM.... (Nilishangaa kwa maneno yake ya mama.. hee ilikuaje akageuka kuku tena wakati mimi nilimuona TUNU... ) sikumuonesha ishara yeyote kama kuna kilicho nitokea..."" sawa mama za huku mjini..vipi..kijijini bibi anawasalimia sana amenipa zawadi zako.. zipo kulee.. stoo.. ""umesahau mbaazi zangu..?? ""a...

JINI TUNU... SESON 5

Image
""Maneno ya bibi.. yalinishangaza sana.. hasa baada ya kuniambia mzimu wa TUNU ulisumbua na uliua watu wengi sana.. katika maeneo yale.... hasa wanakijiji walotumia pale kama sehemu ya mazindiko.... na je kwanini... Jini TUNU aliniandama mimi.. ?? nilibaki na siri rohoni... Nilibeba mizigo yangu na kwenda kituoni nikisaidiwa na mtoto wa jirani maana mizigo ilikua ni mingi sana... ... .. Nipo ndani ya gari.. miti ikirudi nyuma huku zikiwa ni hatua na dalili za kuacha kijiji pendwa alichoishi bibi...na walipozaliwa baba zangu... ....palipojaliwa neema ya mazao.. na mifugo ya kutosha..udongo wenye rutuba. gari lina yoyoma kuzikata mbuga huku harufu ya mjini nikiisikia... barabara chakavu zisizo angaliwa na serikali.. kiasi kwamba matairi yanapita katika mabonde huku yakitingisha mizigo iliokua juu ya gari..na kutinhisha matumbo yetu na kuvuruga bilivyomo...watoyo wakitapika..na wasiojiweza...kuku alionipa bibi anatoa milio ya uoga akijua sasa anaingia mjini... . bibi ali...

BOB JUNIOR ATOA USHAURI WA BURE KWA MASHABIKI ZAKE

Image
Msanii RAHEEM RUMMY NANJI.. almaarufu (BOBJUNIOR) msanii anae tamba na nyimbo ya BOLINGO.. Msanii pendwa.. aliwahi na kuendelea kuwatoa wasanii kadhaa ki mziki.. BOBJUNIOR.. mmiliki na mzalishaji muziki katika studio za (SHAROBALO RECORDS) .... juhudi zake za musiki Tanzania zimeonekana sana baada ya kuwazalisha wasanii wanao wika kwa sasa kama...  DIAMOND PLITNUMZ...NURU...TOX STAR.. BONGE LA NYAU...NK... hata hivyo BOB JUNIOR.. amekua...akifanya shuhuli za uandishi wa muziki.... Nguli huyo.. mkali wao na.. mkali mwenye nyota ya chipsi mayai.. hivi karibuni ametoa ushauri kwa vipengele.. Ikiwa nikuweka nafasi yake yeye kama kioo cha jamii..anaetekeleza hilo kwa kutoa ushauri mzuti wa kimaisha Nanukuu. .. maneno yake... MOJA KATI YA MAFANIKIO YA MAISHA HIVI VITU NI MUHIMU SANA 1.KUJITUMA SANAA 2.PENDA KUJARIBU VINGI MAISHANI KAMA NI BIASHARA AU MUSIC AU LOLOTE LILE IKIWA NI KAZI YAKO 3.USINGIZI ACHANA NAO KWANI NI ADUI WA MAISHA YAKO 4.HESHIM SANA WATU SABABU NDO WANAO ...

(From instagram)ZAWADI KWA NISHA PART 218

Ni asubuhi kimwanga kikipitia katika upenyo wa dirisha  uliotokea baada ya kioo cha... dirisha.kufunguliwa.. nazisikia.kelele za vyombo jikoni bila shaka.itakua ni JENNIFER aliodamka asubuhi kwaajili ya kuaandaa chai.... na kumfanyisha mazoezi BULLA ikiwa ni ya kukukimbia kimbia kama maelekezo ya DOKTA SHIJA... uvivu wangu ulimchukiza sana JENI.. ilifika hatua anazima kila kitu katika chumba nilicho lala ikiwemo kiyoyozi... ili ninapojihisi joto basi ningeamka mwwnyewe tu... Leo hii ilikua ni siku ambayo SIKITU huitumia katika ibada ..hua haendi kutafuta riziki hutumia kama kupumzika pia... leo hii katutembelea.. na ninaisikia sauti yake akiongea na JENI ..nje.. ninaamka toka kitandani.....na kuelekea nje ............ ........ ... "Vipi SIKITU... ""Poa NISHA..leo nimekua mgeni wenu.. ""Sawa karibu....ngoja niende nikaoge maana ndio naamka... ""Vipi jana ulikua na mizunguko..nini..?? ""Ndio nilikua na COSTA kwa aajili ya ile ahadi yet...

From.(Instagram)....ZAWADI KWA NISHA 217

Hakika COSTA alionekana ni mtu aliehitaji kunisaidia kinaga ubaga lakini kwanini  aliweza kuzingatia hili bila kuogopa yalio nifanya nikawa na wasiwasi.. nilisogea hadi kunako kiti ili nipate kumsikiliza ombi langu nililotaka kulijua kutoka kwake hasa mahusiano ya ROSE na BULLA yalioniumiza kichwa kwa kudhani kuna kitu ndani yake….. .. .. kweli ni kwamba kuna kitu nakihitaji kukijua kuhusu boss  mwanamama ambae ulikuja nae siku ya sherehe pale .. nadhani unatambua hilo.. ninae kaka yangu anaeitwa BULLA ambaye hivi sasa anamatatizo makubwa sana yanayohitaji msaaada mkubwa sana amekua akimtaja mtu anaeitwa ROSE kila muda je kuna nini unachojua... .??. ila bila kujua mawazo yake yalikwamia wapi hakuna nitakacho fanya………. Nilihitaji sana kujua nini anafikiria na niweze kumuamulia…hasa kwa kipindi hichi anachoshindwa kufanya lolote... ... ... .. COSTA alinistopisha na kuniomba niendelee na kinywaji alichoniagizia ambayo glass ilikua mkononi kipi...

JINI TUNU PART 4

Image
Tulipokua tunarudi SUDI aliiona ni safari ya kawaida kwake ila mimi kwngu ikikua safari chungu sana... niliwaza kwanini mambo yale ylinitokea na maneno.. ya TUNU mbona yalinitia kitendawili... .. hakika niliona kama naota...na kamwe sikutaka kumuambia SUDI yalionitokea kwani kamwe asingeamini... Tulipanda gari kurudi hadi nyumbani na ilinipasa nijiandae kwa safari maana siku ilikua imeshawadia..ya kurudi nyumbani.. kuondoka kwa bibi kijijini Lakini nikaoana nisingeweza kuondoka hadi kumuelezea bibi yalionikuta... japo yalikua kama ndoto.. kabla ya kuondoka asubuhi niliona nimuambie.... .Bibi aliniandalia chai na zawadi za korosho alizoziandaa kwaajili ya kuondoka nazo pia alifunga funga njegere na maharage.. ""Bibi mbona mzigo mkubwa hivyo nitaweza kweli mjukuu wako... (nilimuambia) ""Acha uvivu mjukuu wangu huoni ukifika hamtapata tabu ya kununua tena....tena mama yako atafurahi....(alinijibu bibi huku anafunga) Ngoja nichukue na mbaazi mkwe wangu anazipe...

JE UNAJUA KATA YA KALOLENI MOSHI KATA TAJIRI YA MALI ASILI...VIJANA WALILIA MABADILIKO

Image
Kata ya Kaloleni inapatikana pembezoni mwa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro. Ipo kilometa nne (4) kusini mashariki mwa Mij wa MOSHI Kaskazini imepakana na Kata ya Njoro, kusini imepakana na Kata ya Mabogini na Mashariki imepakana na Msitu wa Rau na upande wa Magharibi imepakana na Kata ya Pasua.Ina  mitaa  miwili: KALIMANI na KALOLENI, Kata inajumuisha maeneo ya makazi ambayo yamepimwa kisheria pamoja na maeneo mengine ambayo wakazi wanaishi pasipopimwa yaani Kalimani na baadhi ya eneo la Kaloleni. Kata pia imezungukwa na   ..mali asili kedekede ambao ni utajiri...wa nchi.. pia kata hii ni Kilimanjaro vew..... yaani ukiwa kata ya Kaloleni.. unauwezo mkubwa wa kuona mlima Kikimanjaro... Ni kata yenye wakazi wapatao 5000 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2002. Kata imebarikiwa na utajiri wa mali asili.. ikiwemo chemchem.. zinazopatikana.. upande wa KUSINI maarufu kama njoro kwa GOA.. pia kumekua na mitirirko ya maji kutoka mto rau.. na chem che...

JE UNAJUA NAMNA YA KUPENDEKEZA TUZO

Image
‬ Pendekeza majina sasa unayopenda yaingie kwenye tuzo za watu 2015. Kupendekeza ingia kwenye website ya www.tuzozetu.com AU Tuma neno TUZO kwenda 15678 upate menu kama ilivyo hapo chini. Andika code ya kipengele husika, jina la unayempendekeza na kisha tuma kwenda namba 15678 1. Mtangazaji wa redio anayependwa (TZW1) 2. Kipindi cha redio kinachopendwa (TZW2) 3. Mtangazaji wa kipindi cha runinga anayependwa (TZW3), 4.Kipindi cha runinga kinachopendwa (TZW4), 5. Tovuti/Blogu inayopendwa (TZW5) 6. Muongozaji wa video za Muziki anayependwa (TZW6) 7. Muongozaji filamu anayependwa (TZW7) 8. Mwigizaji wa kike anayependwa (TZW8), 9. Mwigizaji wa kiume anayependwa (TZW9) 10. Mwanamuziki wa kike anayependwa (TZW10) 11. Mwanamuziki wa kiume anayependwa (TZW11) 12. Filamu inayopendwa (TZW12) 13. Video ya Muziki inayopendwa (TZW13) 14. Mfadhili maarufu (TZW14) PENDEKEZA MAJINA SASA ‪#‎Tuzozawatu‬ ‪#‎TZW2015 @tuzozawatu @tuzozawatu‬ @tuzo...

TAZAMA PICHA ZA NYUMBA YA MAAJABU(ZANZIBAR).. JINSI LINAVYOPOTEZA UHALISIA

Image