Msanii mshindi wa TUZO 6 katika vinyang'anyiro vi 7 alivyokua akishindanishwa msanii ALIKIBA.. Kwa mara ya kwanza Ashukuru mashabiki zake... Asema.... ... ... "Ningependa Kuchukua Nafasi Hii Kutoa Shukrani Zangu Kwanza, Kwa MUNGU Muumba Aliyenipa Kipaji Hiki, Pili Familia Yangu Kwa Kuniongoza Na Kunipa Moyo Wa Kufanya Kazi Zaidi, My Management, Asante Kwa Kuniongoza Vyema. Mashabiki Zangu Wa Dhati Asanteni Sana Kwa Kuthamini Kipaji Changu Na Kupenda Kazi Zangu! Nawapenda Na Kuwashukuru From The Bottom Of My Heart. MUNGU Awabariki Sana ...#KingKiba HONGERENI MASHABIKI NA WATANZANIA KWA UJUMLA KWA KUMPATIA TUZO KING WA BONGOFLAVER ... ALLIKIBA....