(From INSTAGRAM) BONAS PART 182 ZAWADI KWA NISHA
Bonas PART 182 Aliniambia. kua hatokaa asahau hasa anapo sikia jina La ZULEA likitajwa Alimfanya kama mdogo wake hasa kutokana na hali aliokua nayo ya ulemavu hakua na mtu wa kumsaidia kwa wakati ule.... japo alinidharau kipindi yupo mzima ila sikulipiza mabaya... nilikua naishi nae hapa nyumbani. japo sikua na mume wa kumtegemea ila nili mlisha na kumuhudumia... siku moja nilikua nimekwenda sokoni nilipata simu ya dharura ikanipasa nirudi nyumbani haraka sana.. nilitafuta usafiri nikarudi hapa nyumbani nilikuta watu wengi sana.. nikapenya hadi ndani .. nilichokiona nilizimia nikazinduka alijichoma kisu cha tumbo damu na utumbo vilitapakaa hadi niliogopa sikujua kwanini ZULEA Aliamua kujifanyia hivyo hata hivyo aliacha ujumbe ambao sikubahatika kuusoma askari walikua tayari wamefika na kuuchukua na kuondoka na maiti.. siku ya pili nilip...